Nenda kwa yaliyomo

Telšiai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisikusiku

Telšiai (Kisamogitian: Telšē) ni mji nchini Lituanya. Ni pia mji wa viwanda. Kuna wakazi 31,460 (mwaka 2001). Mji ulianzishwa 1791.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Iko kando ya Ziwa Mastis.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu "Telšiai" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Telšiai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.