Tehuacán, Puebla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la Tehuacán
Nchi Mexiko
Jimbo Puebla
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 238,229
Tovuti:  www.tehuacan.gob.mx

Tehuacánndiyo mji mkubwa wa pili jimboni Puebla. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 238,229 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 390.36 km².

Mji ulianzishwa mwaka 1345.

Jina la Tehuacán ni ya Kinahuatl, maana yake ni nafasi ya miungu.Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tehuacán, Puebla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.