Taunus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ramani ya Taunus

Taunus ni eneo la milima katika jimbo la Hessen la Ujerumani kusini magharibi. Mlima mkubwa ni Großer Feldberg mwenye kimo cha mita 882m.