Tasifida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tasifida (au tasfida, kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza "euphemism") ni usemi ambao unatunza adabu kwa kutumia maneno ya staha au ya kificho badala ya kutaja wazi matusi au maneno yanayoweza kukera yakitamkwa hadharani.

Tamathali hiyo inaweza kuinua sentensi hadi hadhi ya sanaa.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tasifida kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.