Tarafa za Kodivaa
Mandhari
Tarafa za Kodivaa (Kifaransa: Sous-préfectures de Côte d'Ivoire) ni ngazi ya tatu ya ugatuzi. Nchi imegawanywa katika majimbo 14. Mikoa na Wilaya, imegawanywa katika tarafa 509.
Tarafa zilianzishwa kwanza mwaka wa 1961.
Tarafa
[hariri | hariri chanzo]Kwa sasa kuna tarafa 509.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Plus de données Ilihifadhiwa 29 Machi 2013 kwenye Wayback Machine.
- Habari juu ya ugawaji wa mamlaka katika Cote d Ivoire (kifaransa) Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.