Nenda kwa yaliyomo

Tarık Langat Akdağ

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarık Langat Akdağ

Tarık Langat Akdağ (alizaliwa kama Patrick Kipkirui Langat mnamo Juni 16, 1988, huko Nandi, Kenya) ni mwanariadha wa masafa marefu mwenye asili ya Kenya anayewakilisha Uturuki katika mbio za mita 3000 na 5000. Mwanariadha huyu mwenye urefu wa sentimita 176 (futi 5 inchi 9) na uzani wa kilo 60 (pauni 130) ni mshiriki wa klabu ya Enkaspor, ambako anafundishwa na Carol Santa.[1]

  1. "Tarık Langart Akdag". All Athletics. Iliwekwa mnamo 25 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarık Langat Akdağ kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.