Tamsin Edwards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamsin Edwards ni mwanasayansi wa hali ya hewa kutoka Uingereza na mhadhiri katika chuo cha King's College London.[1][2] Ni mzungumzaji maarufu wa sayansi na anaandikia maktaba ya umma ya sayansi ya Public Library of Science (PLOS).[3]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Edwards alipendezwa na fizikia baada ya kusoma kitabu cha A Brief History of Time.[4] Binti ya Michael Edwards,[5] alimaliza sekondari katika Fizikia, Kemia na Hisabati katika shule ya St Margaret's, huko Exeter.[6] Alisomea fizikia katika Shule ya Fizikia na Unajimu katika Chuo Kikuu cha Manchester . Alimaliza PhD katika Fizikia ya Chembe katika Chuo Kikuu cha Manchester chini ya usimamizi wa Brian Cox.[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "King's College London - Edwards, Dr Tamsin". Kcl.ac.uk. Iliwekwa mnamo 23 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. https://www.kcl.ac.uk/people/tamsin-edwards
  3. "All Models Are Wrong". All Models Are Wrong (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2018-05-15. 
  4. "The Real Deal: Tamsin Edwards, Climate Modeller". highheelsinthelab.blogspot.co.uk. 2011-01-17. Iliwekwa mnamo 2018-05-15. 
  5. "The Poetry & Science of Ice and Fire". Champernowne Trust. 2016-08-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-22. Iliwekwa mnamo 2018-08-22. 
  6. "About me" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-02-14. 
  7. https://inspirehep.net/literature/716978
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamsin Edwards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.