Nenda kwa yaliyomo

Tammy Gambill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tammy Gambill

Tammy Gambill (alizaliwa 16 Oktoba 1957) ni kocha Mmarekani wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu na alikuwa mchezaji wa ngazi ya kitaifa hapo awali.[1] Baadhi ya wanafunzi wake wameshinda medali katika mashindano ya kimataifa na watatu kati yao wamekuwa washiriki katika Michezo ya Olimpiki.[1][2] Pia, yeye alishinda tuzo ya Kocha wa Maendeleo ya USOC ya mwaka 2005.[3]

  1. 1.0 1.1 "Tammy Gambill Biography, Age, Height, Husband, Net Worth, Family". Celebrity Age Wiki (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-07-30.
  2. Broadmoor World Arena. "Coach Biographies | Broadmoor World Arena". www.broadmoorworldarena.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-07-30.
  3. "Tammy Lane Gambill, 53 - Hendersonville, TN - Reputation & Contact Details". www.mylife.com. Iliwekwa mnamo 2023-07-30.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tammy Gambill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.