Tambuka
Mandhari
Kwa utendi, tazama Utendi wa Tambuka
Tambuka تَبُوْك |
|
Muonekano wa Tambuka | |
Majiranukta: 28°23′50″N 36°34′44″E / 28.39722°N 36.57889°E | |
Nchi | Saudia |
---|---|
Mkoa | Tambuka |
Tambuka (Kiarabu: تَبُوْك Tabūk) ni makao makuu ya mkoa wa Tambuka kwenye kaskazini magharibi mwa Saudia. Katika mwaka 2022 ilikuwa na watu 594,350.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|