Tamasha la Sharo
Mandhari
Sharo ni neno la watu wa Wafulani linalotumika kuonyesha mtihani wa utu wa kijana kwa kuanzisha mashambulizi ya mijeledi.[1] Hivyo, Tamasha linaloitwa Tamasha la Sharo ni sherehe inayojulikana miongoni mwa Wafulani. Wafulani wanaishi Kaskazini mwa Nigeria.[2] Sherehe hii hufanyika mara mbili kwa mwaka katika jamii ya Wafulani; mara ya kwanza hufanyika wakati wa msimu wa kiangazi wakati wa maandalizi ya mavuno ya mahindi ya guinea, na mara ya pili kwa mwaka hufanyika wakati wa sherehe ya Waislamu ya Eid al-Adha. Lengo la sherehe hii ni kupima Ujasiri na uvumilivu wa wavulana wanaokuwa waume.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sharo | Fulani ritual". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-19.
- ↑ Ibrahim, Mustafa B. (1966). "The Fulani - A Nomadic Tribe in Northern Nigeria". African Affairs. 65 (259): 170–176. ISSN 0001-9909.
- ↑ Yaakugh, Kumashe (2019-03-19). "Sharo: The Fulani festival where boys endure flogging as a rite of passage". Legit.ng - Nigeria news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-19.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Sharo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |