Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kpledjoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kpledjoo ni tamasha la mavuno la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Tema katika Mkoa wa Greater Accra wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa mwishoni mwa Machi au wiki ya kwanza ya Aprili.[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Festival | The Embassy of the Republic of Ghana, Berlin, Germany" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-16.
  2. "Tema marks Kplejoo festival". Graphic Online (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-08-16.
  3. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-16.
  4. "Greater Accra Region". touringghana.com (kwa American English). 2016-02-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-16.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kpledjoo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.