Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Kimataifa la Carthage

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Kimataifa la Carthage au Journées Théâtrales de Carthage [1] ni tamasha la ukumbi wa michezo linaloandaliwa na serikali ya Tunisia ambalo lilianzishwa mwaka 1983.[2] Likiwa linafanyika kila baada ya miaka miwili, tamasha hili la ukumbi wa michezo linabadilishana na Tamasha la Filamu la Carthage.

  1. "Journées théâtrales de Carthage (JTC) – Tunisia’s Carthage Theatre Days)", Middle East & Islamic Studies Collection Blog, Cornell University.
  2. "Major events...The Carthage Theatre Festival" Archived Aprili 30, 2011, at the Wayback Machine, Ticket Tunisia.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kimataifa la Carthage kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.