Nenda kwa yaliyomo

Tamasha la Godigbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Aflao Godigbeza ni tamasha linalofanyika nchini Ghana miongoni mwa watu wa Aflao. Huadhimishwa kila baada ya mwaka mmoja, mwezi wa Oktoba, ili kukumbuka kuondoka kwa watu wa Aflao kutoka kwa utawala mkali wa Mfalme Agorkoli wa Notsie. Tamasha hili huhifadhi historia ya watu ya uhamiaji kutoka Notsie, ambayo ni Togo ya leo. Tamasha hili huadhimishwa kwa kukusanyika kwa machifu katika durbar kuu pamoja na watu wa Aflao.[1]


  1. "Festivals - Artistic-Economic-Ritual Significance of Festivals". National Commission On Culture. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Godigbe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.