Tamara Winfrey Harris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamara Winfrey Harris ni mwandishi wa habari wa Marekani.[1][2] Ameandika makala mbalimbali za kisiasa, utamaduni na mambo ya kijinsia.

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Winfrey Harris anatokea katika eneo la Indiana, ana shahada ya uandishi wa habari kutoka chuo kikuu cha Iowa State University.[3]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Winfrey Harris ni muandishi wa vitabu na kitabu chake cha kwanza ni The Sisters Are Alright: Changing the Broken Narrative of Black Women in America kilichochapishwa mwezi Mei mwaka 2015 na kushinda tuzo ya Phyllis Wheatley Award pamoja na tuzo ya Living Now Award pamoja na IPPY Award.[3] kitabu chake cha pili ni Dear Black Girl: Letters From Your Sisters on Stepping Into Your Power, kilicho pangwa kutoka mwaka 2021 mwezi Machi [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tamara Winfrey Harris at Bluestockings", Time Out New York, August 4, 2015. (en) 
  2. McDonald, Soraya Nadia (July 29, 2015). "A conversation with Tamara Winfrey Harris, author of 'The Sisters Are Alright'". The Washington Post (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-07-23.  Check date values in: |date= (help)
  3. 3.0 3.1 "Tamara Winfrey-Harris". Tamara Winfrey Harris personal website. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-27. Iliwekwa mnamo 2020-08-06.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Winfrey Harris, Tamara. "Dear Black Girl: Letters From Your Sisters on Stepping Into Your Power". Berrett-Koehler Publishers. Iliwekwa mnamo 2020-08-06.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamara Winfrey Harris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.