Nenda kwa yaliyomo

Tajudeen Abdul-Raheem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tajudeen Abdul-Raheem (6 Januari 196125 Mei 2009) alikuwa mwanazuoni na mwanaharakati wa Afrika. Kazi yake kuu ilikuwa kama katibu mkuu wa baraza la saba la kongamano la Pan-Afrika mwaka 1994. Pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa haki Afrika, naibu mkurugenzi wa kampeni ya milenia ya umoja wa mataifa kwa Afrika, pamoja na mwandishi wa magazeti na majarida kote Afrika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Pan-Africanist dies in car crash", BBC News, May 25, 2009. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tajudeen Abdul-Raheem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.