Sylvia Caloiaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sylvia Caloiaro
Amezaliwa 14 Machi 2001
Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake Muogeleaji


Sylvia Caloiaro (alizaliwa 14 Machi 2001) [1] ni muogeleaji wa Kitanzania.

Mnamo mwaka 2019, aliiwakilisha Tanzania kwenye Mashindano ya Dunia ya majini ya 2019 yaliyofanyika Gwangju, Korea Kusini. Alishiriki katika mashindano ya wanawake ya mita 50 ya freestyle]]. [2] Hakusonga mbele kushindana katika nusu fainali. [2] Pia alishiriki katika mbio za mita 50 za breaststroke kwa wanawake na katika hafla hii pia hakufuzu kushiriki nusu fainali. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Entry list". 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 July 2020. Iliwekwa mnamo 26 July 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 "Women's 50 metre freestyle – Heats". 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 July 2020. Iliwekwa mnamo 26 July 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Women's 50 metre breaststroke – Heats". 2019 World Aquatics Championships. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 July 2020. Iliwekwa mnamo 26 July 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvia Caloiaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.