Swindle (filamu ya 2013)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Swindle (2013 film))
Swindle ni filamu ya Kimarekani ya mwaka wa 2013.
Wahusika wakuu kwenye filamu hiyo ni Noah Crawford, Chris O'Neal, Jennette McCurdy, Noah Munck, Ariana Grande, Ciara Bravo, na Fred Ewanuick.
Filamu hii inamzungumzia kijana aitwae Griffin ambaye alipata kadi ya thamani na kuiuza kwa bei isiyo halali, kwa hiyo akashirikiana na marafiki zake kwenda kuichukua hiyo kadi na kuiuza kwa bei halali.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Swindle (filamu ya 2013) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |