Sviatoslav Zabelin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sviatoslav Zabelin
Sviatoslav Zabelin
Sviatoslav Zabelin
Alizaliwa 1950
Nchi Urusi
Kazi yake mwanzilishi wa mtandao wa mazingira

Sviatoslav Zabelin (amezaliwa 1950) ni mwanamazingira kutoka Urusi.

Ni mwanzilishi wa mtandao wa mazingira wa Socio-Ecological Union. Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1993.[1][2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sviatoslav Zabelin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Howe, Marvine. "Chronicle", 19 April 1993. Retrieved on 10 April 2016. 
  2. "Sviatoslav Zabelin. 1993 Goldman Prize Recipient, Europe". www.goldmanprize.org. Iliwekwa mnamo 10 April 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)