Nenda kwa yaliyomo

Stu Davis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stu Davis (alizaliwa David Alexander Stewart; 1 Julai, 1921 – amefariki 25 Machi, 2007) alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mhadithi na mwanamuziki wa Kanada. Davis alingizwa katika Hifadhi ya Muziki wa Country wa Kanada mwaka 1993.[1][2]

  1. Davis: Canada’s Cowboy Troubadour by Brock Silversides
  2. Entry at thecanadianencyclopedia.ca
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stu Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.