Nenda kwa yaliyomo

Strängnäs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Strängnäs
Kanisa Kuu la Strängnäs

Strängnäs ni mji mdogo nchini Uswidi wenye wakazi 13,000. Iko kusini ya Stockholm katika mkoa wa Södermanland.

Strängnäs ina umuhimu wa kihistoria kwa sababu ilikuwa mahali pa uchaguzi wa mfalme Gustav Wasa tar. 6 Juni 1523. Sikukuu ya taifa ya Uswidi inakumbuka uchaguzi huo.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Strängnäs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.