Steven Pruitt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Pruitt mnamo 2022.

Steven Pruitt (amezaliwa Aprili 17, 1984) ni mhariri wa Wikipedia wa Marekani mwenye namba kubwa ya uhariri iliyotengenezwa kwa Wikipedia ya Kiingereza, zaidi ya milioni 5, baada ya kufanya hariri angalau moja hadi theluthi moja ya nakala zote za Wikipedia ya Kiingereza.[1][2][3] Ametengeneza pia nakala zaidi ya 33,00 za wikipedia.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Wikipedia Is Basically a Massive RPG | WIRED. web.archive.org (2021-01-15). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-15. Iliwekwa mnamo 2022-09-30.
  2. Jesse Rifkin (2021-11-24). Time Magazine Named Steven Pruitt One of the Most Influential People on the Internet–Just For His Wikipedia Edits (en-US). Northern Virginia Magazine. Iliwekwa mnamo 2022-09-30.
  3. 3.0 3.1 Meet the man behind a third of what's on Wikipedia (en-US). www.cbsnews.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-30.