Steve Mandanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steve Mandanda

Steve Mandanda Mpidi (alizaliwa tarehe 28 Machi mwaka 1985) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kipa wa Marseille na timu ya taifa ya Ufaransa.

Amewakilisha Ufaransa katika michuano ya kimataifa: michuano ya UEFA ya Ulaya (2008, 2012, na 2016) na vikombe viwili vya Dunia FIFA (2010 na 2018).

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steve Mandanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.