Steal
Steal | |
---|---|
Imeongozwa na | Gérard Pirès |
Imetungwa na | Mark Ezra Gérard Pirès |
Nyota | Stephen Dorff Natasha Henstridge Bruce Payne Steven Berkoff |
Imetolewa tar. | 2002 |
Ina muda wa dk. | 83 minites |
Nchi | Ufaransa Uingereza Kanada |
Lugha | Kiingereza |
Steal (pia inajulikana kama Riders) ni filamu ya aksheni ya 2002 iliyochezwa na Stephen Dorff, Natasha Henstridge, Bruce Payne na Steven Berkoff. Filamu iliongozwa na Gérard Pirès na kutungwa na Mark Ezra na Gérard Pirès.
Hadithi
[hariri | hariri chanzo]Slim, Frank, Otis na Alex ni kundi la vijana wanaojishuighulisha na masuala ya wizi wa benki kwa kutumia uvumbuzi wa hali ya juu mno kama kuendesha ubao wa kutelezea (skate board). Kundi linakwepa kukumatwa na Polisi, -naongozwa na Luteni Macgruder, na kupanga kuiba kuthubu kuiba tena zaidi. Lakini kuna mtu asiyejulikana anaonekana kuwajua kuwa wao ni kina nani na kuwatishia kwamba wasipo mpa kitu kidogo atawachowa kwa Polisi - kwa maana hiyo waibe kwa ajili yake. Baadaye, Mafia linalowakilishwa na mlazimishaji Surtayne analipa maelekezo kundi namna ya kufanya vinginevyo watauawa. Punde kundi limebadilisha kibao kwa mtu mmoja asiyejulikana (ambaye aligundulika kuwa ni Luteni Macgruder) na Mafia walitoroka na mihela yote ya kazi yao ya mwisho.
Washiriki
[hariri | hariri chanzo]- Stephen Dorff kama Slim
- Natasha Henstridge kama Karen
- Bruce Payne kama Lt Macgruder
- Steven Berkoff kama Surtayne
- Cle Bennett kama Otis
- Karen Cliche kama Alex
Mapokezi
[hariri | hariri chanzo]Imekadiriwa kwa asilimia 29% kwenye tahakiki za filamu katika tovuti ya Rotten Tomatoes.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Steal (2005)". Rotten Tomatoes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-15. Iliwekwa mnamo 2009-08-01.