Nenda kwa yaliyomo

St. George's (Grenada)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
St. George's

Kitovu cha St. George's pamoja na bandari yake
Habari za kimsingi
Utawala Mji ni sehemu ya ushirika raia wa St. George's (parish of Saint George's)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 12°2′40"N
Longitudo: 61°44′30"W
Kimo takr. 3 - 52 m juu ya UB
Eneo - Ushirika raia 39 km²
- mji ? km²
Wakazi watu 4,315 mjini (2006)
takriban 33,000 katika rundiko la mji (2006)
Msongamano wa watu watu ? kwa km² (ushirika)
Simu +1473 (nchi yote)
Mahali

Saint George's ni mji mkuu wa Grenada ambayo ni nchi ya visiwani ya Karibi kati ya visiwa vya Antili Ndogo. Saint George's' ni mji mdogo tu mwenye wakazi 4,300 lakini pamoja na watu wa eneo la karibu ni mnamo 33,000. Uko kwenye pwani la kusini-magharibi ya kisiwa cha Grenada.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1650. Tangu 1763 umekuwa chini ya Uingereza hadi uhuru.

Hadi 1960 ilikuwa mji mkuu wa koloni ya Uingereza ya Windward Islands iliyojumlisha Saint Lucia, Saint Vincent, visiwa vya Grenadini na Grenada.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.