Nenda kwa yaliyomo

Soungoutou Magassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Soungoutou Magassa (alizaliwa 8 Oktoba 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya AS Monaco.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce89/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Soungoutou MAGASSA". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soungoutou Magassa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.