Nenda kwa yaliyomo

Sonja Wipf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sonja Wipf (alizaliwa Februari 24 mwaka 1973, huko Brugg ) [1] ni mwanaikolojia wa mimea wa Uswisi ambaye anachunguza matokeo ya mabadiliko ya hali ya hewa . Alifanya kazi katika Taasisi ya Utafiti wa Theluji na Maporomoko ya theluji na ni mkuu wa utafiti na ufuatiliaji ya WSL Institute for Snow and Avalanche Research SLF katika mbuga za Kitaifa za Uswizi .

  1. Curriculum Vitae. Ilihifadhiwa 21 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine. In: Sonja Wipf: Winter Climate Change in Tundra Ecosystems: The Importance of Snow Cover. Dissertation, Universität Zürich, 2006, S. 123 (PDF; 8,2 MB).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sonja Wipf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.