Solwezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa ndege wa Solwezi, Zambia
Uwanja wa ndege wa Solwezi, Zambia

Solwezi ni mji wa Zambia katika Mkoa wa Kaskazini-Magharibi.

Mwaka 2010 ulikuwa na wakazi 90,856 [1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Solwezi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.