Sofiano
Mandhari
Sofiano | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | Januari 11 1991 |
Asili yake | Pouytenga, Kouritenga, Burkina Faso |
Kazi yake | Mwimbaji |
Miaka ya kazi | 2013–mpaka sasa |
Sofiane Balzak Kanazoé (alizaliwa 11 Januari,1991) anajulikana kama Sofiano, ni mwimbaji wa nchini Burkina Faso.[1] Muziki wake kwa ujumla unajumuisha muziki wa afro-zouk na coupe-décalé. Amefanya kazi na wasanii kama Burkinabé Floby, Dez Altino na Agozo na amefanya kazi katika tamasha la Jardin de la Musique Remdoogo la muziki na sanaa katika mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou.[2] Sofiano alishinda tuzo mbili za kitaifa za Kundé nazo ni Kundé of revelation na Kundé of hope mnamo mwaka 2015.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nago Seck (2019-11-20). "Sofiano". Afrisson (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "Musique burkinabè : Rama, Weezy et Sofiano émerveillent déjà - leFaso.net, l'actualité au Burkina Faso". lefaso.net (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 2017-02-28.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ UNESCO (2012-12-31). Politiques pour la créativité: guide pour le développement des industries culturelles et créatives. UNESCO.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofiano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |