Sodo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Sodo ni mchezo wa mpira wa miguu unaotumia mpira uliofumwa kwa mifuko na vitambaa.

Mchezo huu huchezwa katika viwanja vya vumbi au maeneo ya ufukweni ikiwa na idadi ya watu kuanzia saba au mpaka kumi.

Mchezo huu ni maarufu kwa maeneo ya changanyikeni.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sodo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.