Simon Koech
Mandhari
Simon Kiprop Koech (alizaliwa 10 Juni 2003) ni mwanariadha wa Kenya. Mwaka 2023, alikuwa bingwa wa kitaifa wa Kenya katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simon Koech kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |