Silvia Lloris
Mandhari
Silvia Lloris Nicolás (alizaliwa 15 Mei 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Spain - Silvia Lloris - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
- ↑ "Silvia, Silvia Lloris Nicolás - Footballer | BDFutbol". www.bdfutbol.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Silvia Lloris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |