Siku ya kijani Reykjavík
Mandhari
Siku ya kijani Reykjavík ni siku maalamu iliyo asisiwa na kikundi cha wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Iceland katika programu ya utunzaji wa mazingira na maliasili.[1]
kikundi hicho cha Gaia kiliundwa kwa nia ya kuhamasisha wananchi, wafanya biashara, taasisis zisizo za kiserikali, mamlaka ya serikali za mitaa na waamasishaji kutoka mijini ili kuboresh mazingira kwa kubailisha tabia za watu.
Ilikubalika katika baraza la jiji la Reykjavík kama elimu inayo himiza wadau kuchukua hatua za uwajibikaji katika mazingira.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Reykjavík Green Days", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2018-04-16, iliwekwa mnamo 2022-05-07