Nenda kwa yaliyomo

Siku ya Kisasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku ya Kisasii (kwa Kiarabu: يوم الانتقام Yūm al-Intiqāmi) ilikuwa sikukuu nchini Libya iliyokuwa ikisherehekea kufukuzwa kwa Watalia kutoka ardhi ya Libya mwaka 1970. Baadhi ya vyanzo vinadai kwamba kuondoka kwa Wayahudi wa Libya kati ya mwaka 1948 na 1967 pia ilisherehekewa.[1]

Siku hii ilifutwa mwaka 2004 baada ya Silvio Berlusconi kuomba msamaha kwa ukoloni wa Italia nchini Libya, lakini ikarejeshwa mwaka uliofuata.[2][3][4][5] Baadaye, jina lake lilibadilishwa na kuwa Siku ya Urafiki kutokana na maboresho katika uhusiano kati ya Italia na Libya.[6][7][8]

  1. Wells, Audrey (2022-01-01). The Importance of Forgiveness and the Futility of Revenge: Case Studies in Contemporary International Politics (kwa Kiingereza). Springer Nature. ISBN 978-3-030-87552-7.
  2. Albahari, Maurizio (2015). "Genealogies of Rescue and Pushbacks". Crimes of Peace: Mediterranean Migrations at the World's Deadliest Border (kwa Kiingereza). University of Pennsylvania Press. doi:10.9783/9780812291728-003. ISBN 978-0-8122-9172-8.
  3. Paoletti, Emanuela (2010). "Historical Background on the Agreements between Italy and Libya". The Migration of Power and North-South Inequalities: The Case of Italy and Libya (kwa Kiingereza). Palgrave Macmillan UK. ku. 107–138. ISBN 978-0-230-29928-3.
  4. John, Ronald Bruce St (2014). Historical Dictionary of Libya (kwa Kiingereza). Rowman & Littlefield. uk. 175. ISBN 978-0-8108-7876-1.
  5. Wells, Audrey (2022). The Importance of Forgiveness and the Futility of Revenge: Case Studies in Contemporary International Politics (kwa Kiingereza). Springer Nature. uk. 35. ISBN 978-3-030-87552-7.
  6. Zoubir, Yahia H. (2009). "Libya and Europe: Economic Realism at the Rescue of the Qaddafi Authoritarian Regime". Journal of Contemporary European Studies. 17 (3): 401–415 [403, 411]. doi:10.1080/14782800903339354. S2CID 153625134.
  7. Brambilla, Chiara (2014). "Shifting Italy/Libya Borderscapes at the Interface of EU/Africa Borderland: A "Genealogical" Outlook from the Colonial Era to Post-Colonial Scenarios". ACME: An International Journal for Critical Geographies (kwa Kiingereza). 13 (2): 220–245. ISSN 1492-9732.
  8. Van Genugten, Saskia (2016). "Reconciliation and Fighting Islamic Extremism Together". Libya in Western Foreign Policies, 1911–2011 (kwa Kiingereza). Palgrave Macmillan UK. ku. 127–146. ISBN 978-1-137-48950-0.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya Kisasi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.