Sikiliza Wikipedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sikiliza Wikipedia, inajulikana kama L2W :

Sikiliza Wikipedia, ni vyombo vya habari vya sauti iliyotengenezwa na Mahmoud Hashemi na Stephen LaPorte ambayo inatafasiri makala mpya za Wikipedia kwenda kwenye picha na sauti. Maombi ya program ya chanzo wazi inatengeneza takwimu za wakati halisi zenye sauti kutoka kwenye michango ya Wikipedia ulimwenguni. Kufanikishaa hili L2W inatumia maktaba ya picha.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stephen LaPorte and Mahmoud Hashemi. "Listen to Wikipedia". Tumblr (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-02.