Sidney Howard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sidney Howard, 1909

Sidney Coe Howard (26 Juni 189123 Agosti 1939) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1925, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake They Knew What They Wanted.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sidney Howard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.