Shungu Dutiro
Mandhari
(Elekezwa kutoka Shungu dutiro)
Shungu Dutiro (alizaliwa 28 Januari 1999) ni mchezaji wa soka nchini Afrika Kusini.
Ushiriki katika klabu
[hariri | hariri chanzo]Dutiro alionyesha nia ya kucheza soka akiwa na umri wa miaka sita, na wakati akisoma katika Chuo cha St Stithians, alisaini na Bidvest Wits mnamo 2013.[1]
Mnamo Oktoba mwaka huo huo, alitajwa na gazeti la Kiingereza The Guardian kama mmoja wa wachezaji bora waliozaliwa mwaka 1999 kote ulimwenguni.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Zilibokwe, Nkululeko (5 Agosti 2015). "Shungu shines at Engen Knockout Challenge". alexnews.co.za. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2022.
- ↑ "Next Generation 2016: 60 of the best young talents in world football". The Guardian. 5 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2019.
- ↑ "Shungu Dutiro Is Back Training With Bidvest Wits". snl24.com. 1 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2022.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shungu Dutiro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |