Shirikisho la Skauti wa Kike Sudan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Skauti wa Kike Sudan ni shirikisho la Skauti Wasichana nchini Sudan, Shirikisho hili lilianzishwa mwaka 1928 na hadi kufikia mwaka 2003 shirikisho hili lilikuwa na jumla ya Wanachama 35,000. Ilianzishwa mwaka 1928 na mwaka 1957 lilitambuliwa rasmi na kuwa mwanachama wa Chama cha Skauti Duniani.

Sudan Kusini[hariri | hariri chanzo]

Sudani Kusini ilikuwa nchi huru mnamo tarehe 9 Julai mwaka 2011 na katika kipindi hicho shirikisho hili liligawanyika na kuvunjika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sudan deal to end Abyei clashes", BBC News, 2011-01-14.