Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tunisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tunisia (Kiingereza: Tunisian Basketball Federation (FTBB), Kiarabu: الجامعة التونسية لكرة السلة)[1] ni bodi inayosimamia mpira wa kikapu nchini Tunisia iliyoanzishwa mwaka 1956, katika mji mkuu Tunis. FTBB ni mwanachama wa shirikisho la kimataifa la mpira wa kikapu (FIBA) katika ukanda wa FIBA Afrika. Rais wa sasa ni Ali Benzarti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fédération Tunisienne de Basket Ball". FTBB (kwa fr-FR). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-13. Iliwekwa mnamo 2022-09-01.