Shirikisho la Mpira wa Kikapu Sudan Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Sudan Kusini (Kiingereza: South Sudan Basketball Federation (SSBF) ni shirikisho la mpira wa kikapu nchini Sudan Kusini linalosimamia timu ya wanaume, timu ya wanawake na timu za vijana. Shirikisho hilo ni mwanachama wa FIBA Afika tangu Novemba 14, mwaka 2003 na mwanachama mwanzilishi wa Kamati ya Olimpiki Sudan Kusini.[1] Makao makuu yako Juba.

Luol Deng ndiye Rais wa shirikisho tangu mwaka 2019.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ABOUT". South Sudan Basketball Federation (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  2. "South Sudan Basketball Federation", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-08-28, iliwekwa mnamo 2022-09-01