Shirikisho la Mpira wa Kikapu Kamerun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cameroon Basketball Federation (CBF) Ni shirika lisilo la faida na bodi inayoongozwa na serikali ya mpira wa kikapu nchini Kamerun. Shirika hili linawakilisha Kamerun katika FIBA[1] na timu za kitaifa za mpira wa vikapu za wanaume na wanawake katika Kamati ya Olimpiki ya Kamerun.[2][3]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la kamerun lilianzishwa mnamo mwaka 1961 kama Shirikisho la Kikapu la Kitaifa la Kamerun (CNBF). Na ilibaki kama CNBF hadi mwaka 1965 ilipojiunga na FIBA.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Profile | FIBA.COM". www.fiba.basketball. Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  2. "FECABASKET | Fédération camerounaise de basketball" (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-19. Iliwekwa mnamo 2022-09-01.