Shirika la Posta Duniani
Mandhari
Shirika la Posta Duniani (kwa Kiingereza: Universal Postal Union), lililoanzishwa na Mkataba wa Bern mwaka 1874, ni miongoni mwa mawakala wa Umoja wa Mataifa unaohusika na sera za posta kati ya mataifa wanachama na dunia nzima.
Shirika hilo linajumuisha bodi mbalimbali kama mkutano, Baraza la Utawala, Baraza la Kazi la Posta, na Ofisi za Kimataifa.[1]