Sherehe za Tuzo za soundcity MVP

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tamasha la Tuzo la Soundcity MVP ("TheMVPs" au "MVP") ni tukio linalowasilishwa na Soundcity TV ambayo hutoa tuzo kwa wanamuziki na wasanii kote barani Afrika.Tangu 2007 , washindi huchaguliwa na watazamaji na mashabiki kwa kutembelea tovuti ya #TheMVPs[1]na kamati teule ya washikadau wa tasnia. Sherehe ya kwanza ya MVP ilifanyika mnamo Desemba 2016 huko Lagos, Nigeria.

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka na kurushwa moja kwa moja kwenye[2] Soundcity TV, DStv, GOtv, TalkTalk UK, Soundcity Radio Network na programu ya Soundcity Android na iOS na pia mtandaoni kwenye tovuti ya SoundcityTV, YouTube na akaunti nyingine za mitandao ya kijamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]