Shelina Zadorsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zadorsky mnamo 2016

Shelina Laura Zadorsky (alizaliwa 24 Oktoba 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Kanada[2].Shelina anachezea West Ham United akitokea Tottenham Hotspurs kwa mkopo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. canadasoccer.com https://canadasoccer.com/profile/?id=3426. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.  Missing or empty |title= (help)
  2. "Together We Rise: Canada Soccer announces squad for the FIFA Women’s World Cup France 2019 | Canada Soccer". web.archive.org. 2019-06-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shelina Zadorsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.