Shaun Gill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shaun Gill (alizaliwa Aprili 9 1993) ni mwanariadha wa nchini Belize. [1][2]Alishindana kwenye michuano ya wanaume ya mita 60 Michuano ya ndani ya IAAF 2018.[3]

Alikimbia kwa sekunde 10.88 umbali wa mita 100 kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2020 raundi za mwanzo nchini Tokyo.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Shaun GILL | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  2. "Athletics GILL Shaun - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-25. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  3. https://media.aws.iaaf.org/competitiondocuments/pdf/6019/AT-60-M-h----.SL2.pdf
  4. "Athletics - Preliminary Round - Heat 1 Results". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-25. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shaun Gill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.