Sharlto Copley
Sharlto Copley | |
---|---|
Amezaliwa | Sharlto Copley 27 Novemba 1973 Johannesburg, Gauteng, Afrika Kusini |
Kazi yake | Muigizaji |
Ndoa | Tanit Phoenix |
Watoto | 1 |
Sharlto Copley alizaliwa mnamo tarehe 27 Novemba mwaka 1973 ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Amecheza kama Wikus van der Merwe katika filamu ya District 9,[1] Alicheza pia kama Howling Mad Murdock katika mabadiliko ya mwaka 2010 ya filamu ya The A-Team. Wakala C. M. Kruger katika filamu ya Elysium,James Corrigan katika filamu ya Europa Report na mfalme Stefan katika filamu ya Maleficent.Pia alicheza cheo cha kichwa katika Filamu ya Chappie,Kama Jimmy katika filamu ya Hardcore Henry,na nyota katika misimu miwili ya filamu,filamu ya Christian Walker na Powers katika mfululizo wa televisheni.Copley amemuowa mwigizaji mwenzake wa Afrika Kusini na Mwanamtindo wa mitindo TANIT PHOENIX.[2]
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Sharlto Copley alizaliwa Johannesburg na alisoma shule ya St. Andrew's Preparatory School huko Grahamstown na Shule ya Redhill School huko Morningside, Johannesburg.[3]Baba yake ni Dk Bruce Copley, profesa wa zamani wa chuo kikuu.[3][4] Kaka yake ni Donovan,[3] ni mwimbaji na kiongozi wa Bandi ya Cape Town Hot Water.[5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "MTV Movie Awards Nominees Announced; New Category for Horror". Dreadcentral.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-22. Iliwekwa mnamo 2015-09-06.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Tanit and Sharlto: Happily Ever After - Grazia South Africa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 Marks, Lisa. "Interview with A-Team star Sharlto Copley", The Scotsman, 26 July 2010.
- ↑ "Bruce Copley – Holistic Learning Adds Value" Archived 27 Septemba 2013 at the Wayback Machine SKF Sweden Evolution Business and Technology Magazine article, 7 June 2006
- ↑ Hotwater Archived 22 Aprili 2013 at Archive.today. Overtone.co.za (16 October 2008). Retrieved on 22 September 2013.
- ↑ Hotwater Official Site. Hotwater.co.za. Retrieved on 22 September 2013.
- ↑ [1] Archived 10 Desemba 2008 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sharlto Copley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |