Sergei Ivanovich Rudenko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sergei Rudenco

Sergei Ivanovich Rudenko (Kwa Kirusi: Сергей Иванович Руденко; Januari 16, 1885, Kharkov - Julai 16, 1969, Leningrad) alikuwa Mrusi mwanaanthropolojia na mwanaakiolojia maarufu ( ambaye aligundua na kuchimba makaburi ya Scythian, Pazyryk huko Siberia.

Rudenko alikuwa mfuasi wa "Shule ya Ufaransa ya Anthropolojia" ya Paulo Broca. Alishiriki katika Tume ya Ramani ya Kijiografia ya Kirusi (IRGO) iliyoanzishwa mwaka wa 1910.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergei Ivanovich Rudenko kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.