Serge Haroche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Serge Haroche

Serge Haroche (amezaliwa 11 Septemba, 1944) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa amechunguza chembe za nuru na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 2012, pamoja na David J. Wineland, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Serge Haroche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.