Senteni Masango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senteni Masango, (Alizaliwa Julai 1981 - 6 Aprili 2018) alikuwa Inkhosikati wa nane (mke wa mfalme) na mke wa Mswati III wa Eswatini.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Masango aliteuliwa kuwa mke mpya kwa Mswati III wakati wa sherehe ya Uhmlanga ya mwaka 1999. Walioana mwaka 2000.[1] Alijaliwa watoto wawili, Princess Sentelweyinkhosi na Princess Sibusezweni.

Masango alikuwa mchoraji. Aliuza kazi zake katika mnada ili kuchangisha fedha kwa mashirika ya hisani ya ndani nchini Eswatini.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Married at 18, stayed alone: King Mswati’s eighth wife allegedly commits suicide : Evewoman – The Standard". Standardmedia.co.ke. Iliwekwa mnamo 18 March 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Who are the Queens of Swaziland?". Thisisafrica.me. 28 August 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 18 March 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Senteni Masango kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.