Scott fiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Scott James Fiti (Alizaliwa Julai 17, 1995 ) Ni mwanariadha wa mbio za Mikronesia ambaye aliwakilisha mashindano ya Nchi Shirikisho la Mikronesia kwenye Olimpiki katika kipindi cha majira ya joto ya mwaka 2020.[1][2]

Aliwakilisha jimbo la Chuuk. Fiti alimaliza nafasi ya tano katika mita 100 kwa upande wa wanaume ikiwa awamu ya tatu katika Mashindano ya Dunia ya IAAF 2019 huko Doha akitumia sekunde 11.34.[3][4]

Baada ya kuchaguliwa kwenye michezo ya majira ya joto 2020, aliipewa heshima ya kubeba bendera ya taifa kwenye sherehe ya ufunguzi.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scott James FITI | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  2. "Tokyo bound". Organisation of Sports Federations of Oceania (kwa en-AU). 2021-05-13. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  3. "Athletics - Scott James Fiti (Micronesia)". www.the-sports.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  4. "Day 1: Competition Begins Oceania Athletics Association". Oceania Athletics Association (kwa en-US). 2019-09-28. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
  5. "Athletics flag bearers help to light up Olympic Opening Ceremony in Tokyo | FEATURES | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-25. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Scott fiti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.