Nenda kwa yaliyomo

School of Rock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

School of Rock ni kipindi cha televisheni ambacho huoneshwa kwenye chaneli ya nickeiodeon.

Kipindi hiki kinahusu mtu mmoja wa mtaani aitwaye Mr. Finn kwenda kuwa mwalimu kwenye darasa ambalo mwalimu wao anaumia kwa kuteleza kwenye sketibodi akiwa anaichukua kutoka kwa mwanafunzi wake Freddy. Baada ya kuanguka mwalimu mkuu aenda kumuajili Mr.Finn. Ambaye mwalimu huyu aanza kuwafundisha mziki wa kwa kutumia vifaa ambapo mziki wake ni wa kwa sauti kubwa kama vile maguitar ya umeme na malaudi speaker.Na kwenye kufanya hivyo ni kwamba mwalimu wao mkuu hapendi aina ya mziki wanaopiga kwasababu mwalimu mkuu anaogopa kupoteza kibarua chake na hivyo wanufanya kisirisiri lakini Clark ambaye ni rafiki yake mwalimu mkuu anagundua na anaenda kumwambia mwalimu mkuu lakini mwalimu mkuu hamwamini hata kidogo. Upande wa pili huku darasani kwao Summer anakosa kitu cha kufanya hivyo anaamua kuiimba lakini cha kushangaza ni kwamba hajui kuimba hata kidogo hivyo anmuambia rafiki yake amsaidie lakini ni kwamba hata huyo rafiki yake na yeye anataka kuimba lakini badala yake anaamua kumsaidia rafiki yake kwa kuunganisha sauti yake na speaker nakuonekana kwamba rafiki yake anaimba.Lakini mwisho wa siku inagundulika na Summer anaiyomba msamaha bendi na wanamsamehe na baadae Tomika anakuwa ndo muimbaji wa band yao na Summer anapata sehemu kwenye band yao ambapo Summer anakua meneja wa bendi.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu School of Rock kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.